Wahenga waliposema ‘Mchuma janga hula na wakwao’ haukuwa msemo ombwe, hii inajidhihirisha kutokana na zaidi ya watu milioni 1.34 wanaotegemea mtu huo wako hatarini kuathirika na ukame kutokana ...
Rais wa Marekani, Donald Trump ameapa rasmi kutumikia Taifa hilo huku akisisitiza masuala ya usalama wa mipaka, kukomesha uhamiaji haramu na kuwarudisha makwao wahamiaji haramu wote.
Thamani na shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka kwa mwaka 2024 licha ya changamoto ...
Kuapishwa kwa Donald Trump kuwa Rais wa 47 wa Marekani na ahadi yake ya kusaini amri za kiutendaji takriban 200, huenda ...
Neema Samweli (21), mkazi wa Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro na mwenyeji wa Mkoa wa Mara, anatuhumiwa kumuua kwa ...
Wakati Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiapa leo Jumatatu Januari 20, 2025 kuliongoza Taifa hilo lenye nguvu duniani, ...
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani leo Jumatatu, Januari 20, 2025, katika sherehe rasmi iliyofanyika kwenye ...
Baadhi ya wadau wa siasa nchini, wakiwemo wanazuoni, wamepongeza marekebisho madogo ya Katiba ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ...
Hali ya majonzi na simanzi imetawala katika mioyo na nyuso za mamia ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ...
Uteuzi wa Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya ...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema nchi imekuwa ikishuhudia ongezeko la talaka ...
Wakati kesho Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikitarajiwa kufanya mkutano mkuu utakaowachagua viongozi wa ...