Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani leo Jumatatu, Januari 20, 2025, katika sherehe rasmi iliyofanyika kwenye ...
Uteuzi wa Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya ...
Wakati kesho Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikitarajiwa kufanya mkutano mkuu utakaowachagua viongozi wa ...
Baraza Kuu la Chadema limewateua rasmi Tundu Lissu, Freeman Mbowe na Charles Odero kuwa wagombea wa uenyekiti wa chama hicho ...
Ili kupunguza athari za uharibifu wa mazingira, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji na Uwekezaji (UNCDF), limesisitiza umuhimu wa kutolewa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa jamii.
Katika soka, goli linalofungwa kwa Tik-Taka huhesabiwa miongoni mwa magoli bora na ya viwango na uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuteua wagombea wake wa urais wa Tanzania na wa ...
Wafuasi wa Lissu wanampinga Mbowe kwa hoja kuwa, wanahitaji mabadiliko baada ya miaka 21 ya uongozi wake bila mafanikio ya ...
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameonyesha furaha na kuridhishwa na uteuzi wa Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma ya kusambaza video za utupu maarufu ‘connection’ zinazodaiwa ...
Uchaguzi mkuu wa Chadema unaokwenda kukamilika kesho Januari 21 jijini Dar es Salaam kwa kuwachagua wagombea uenyekiti na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya ...
Kabla ya kuahirishwa kwa fainali za Chan, bodi ya ligi ilipanga kusimamisha Ligi Kuu hadi mwezi Machi mwaka huu.