Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma ya kusambaza video za utupu maarufu ‘connection’ zinazodaiwa ...
Uchaguzi mkuu wa Chadema unaokwenda kukamilika kesho Januari 21 jijini Dar es Salaam kwa kuwachagua wagombea uenyekiti na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya ...
Kabla ya kuahirishwa kwa fainali za Chan, bodi ya ligi ilipanga kusimamisha Ligi Kuu hadi mwezi Machi mwaka huu.
Mgomo wa wahudumu nchini Kenya ni mwendelezo wa changamoto katika sekta ya afya nchini humo mara kwa mara wamekuwa ...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro ametaja mambo makubwa manne ambayo yamejitokeza kwenye kampeni za msaada wa ...
"Tumekuja Dar es Salaam sio kupaniana, tumekuja kuyajenga kwamba chama hiki tutakijenga, tutakipanga ili mwisho wa siku chama ...
Kuachiwa kwa wafungwa hao ni matokeo ya Hamas kuwaachia wateka watatu wa Israel waliokuwa wakishikiliwa eneo la Gaza na ...
Tangu Lissu alipoweka wazi azma yake ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, kumekuwa na mivutano kati ya wanaomuunga mkono na ...
Maisha ya Manchester United yanaendelea kuwa mabaya kila kukicha jambo ambalo linaonyesha kuwa maisha ya makocha kwenye timu ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama ...