Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan ...
MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la ...
Rais mteule Donald Trump atarejea tena katika Ikulu ya White House leo Jumatatu Januari 20, 2025, punde tu atakapo apishwa ...
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zubeir, ametangaza kuanza ziara mkoani Dodoma kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya ...
Mtanzania Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi Afrika (MISSION 300) yamefikia 95%-Dk. Biteko - Biashara na ...
“Kampeni ya ‘Twende Kidijitali, Tukuvushe Januari’ ilizinduliwa katikati ya Desemba 2024 kwa lengo la kuboresha mazingira ya ...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kuwa mabalozi ...
Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Abeid Galusi, amesema maboresho yaliyofanyika bandarini yamesababisha kupungua ...
Katika jitihada za kujenga nguvu kazi yenye ushindani na ubunifu wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) sasa wataongezewa ujuzi na maarifa ili kukabiliana na changamoto za soko la ajira.
Jeshi la Sudan limetangaza mafanikio makubwa baada ya kukomboa mji wa Wad Madani, mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo, kutoka mikononi mwa vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF). Tukio ...
Ifahamike hapa, kuwa katika Zanzibar, Sherehe za Mapinduzi ndio sherehe kubwa kuliko zote ikiwamo za kiimani. Shamrashamra za kuelekea siku ya leo huanza kwa shughuli mbalimbali za kwenye ratiba hata ...